Tuesday, February 15, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
9 comments:
Hilo jina yani Katarero kiswahili ni matusi tupu naneo moja lina maana nyingi sana.
Na kwa kariiiibu najiona. Mimi yulllee, Vumbi mpaka kwenye kope. Unaniona?
Karibu tena dada
ULIKUMBUKWA na asiyeonekana. Yaani mimi mwana mpotevu
Lol
Umenikumbusha mbali kweli hadithi hii ya "Siku ya Gulio Katerero" nadhani nilikuwa darasa la nne. Naona nami mnaniona hapo ni hicho kigauni changu na mivumbi kibaoooo:-)
Nilijua maana ya jina hili kwa undani wakati nikisoma Bukoba. Wahaya mhhhh!
Kweli dada Yasinta - hata mimi nakumbuka hiyo habari ya "Siku ya Gulio Katerero". Nadhani ilikuwa katika kitabu cha Kiswahili cha darasa la nne
hata mimi nakumbuka Gulio katerero!
Kumuona Kamala yahitaji kuazima miwani ya kibabu wa miaka 100, tena kibogoyo hakyanani!
Naamini hapa gulioni lazima kuna mchumba wangu!:-(
duhu kwenye makaterero?? muhimu kufanya mambo mswano, utaganganiwa kwani utafikisha mwisho wa ggulio mpaka uchuvu
hehehee hata mimi naamini hivyo kaka wa mimi @Kitururu!
Post a Comment