Inakuwaje Fyatu Mzima Anajigeuza au Kugeuzwa Mdudu?
-
*K*unguni na chawa ni mojawapo ya wadudu wachafu, na hatari bila kusahau
wawafugao miongoni mwa viumbe waliolaaniwa tangu walipoumbwa. Ni dhalili,
dhali...
3 hours ago

3 comments:
ha ha ha haaaaa! mweh mambo ya biashara haya!!
dada koero Mkundi kweli biashara matangazo. Umenikumbushia mbali sana pindi nilipokuwa meneja matangazo wa radio moja hapa Dar nilikuwa nabuni vitu vingi sana ili kuhakikisha tunaendelea kuuza. Ila zaidi napenda barua zako dada you are so creativity and gifted person. Big up!!
Hakika hiyo nanihii ni mtumba kutoka kwa wacheza sumo wa Japan! :-)
Post a Comment