Ndugu wasomaji, leo nilikuwa nachungulia mtandaoni nikajikuta nikivutiwa na hii picha ya huyu jamaa, naambiwa kuwa eti ni Mtanzania na anaishi ughaibuni. Mnaomfahahamu, naombeni mnijuze.....Huyu ni nani?
WAZIRI MKUU KUFUNGUA JUKWAA LA UWEKEZAJI TANZANIA NCHINI UINGEREZA
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Oktoba 6, 2026,
kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, ambapo atafungua
Jukwaa la ...
1 hour ago


4 comments:
Huyu ni Dr Zawose
Kama alivyosema Kaka Bennet, huyo ni Dr. Hukwe Zawose. Mmoja kati ya mabalozi wazuri wa muziki wa asili wa Tanzania aliyefariki mwaka 2003.
msome http://www.bagamoyo.com/464+M5ad021e75f8.html
Hee!! kaka Mubelwa, kumbe huyo Ndiye Dr. Nzawose!!!!....na Kumbe ameshafariki!!!!!!
hebu ngoja nimsome kupitia hiyo Link kwanza.......
Duh! Kwa nini watu wanawahi kujibu maswali kama haya. Basi kwani tayari wameshajibu waliotangulia. nazipenda sana nyimbo zake. labda nisema tu ni mgogo au alikuwa mgogo.
Post a Comment