Thursday, November 26, 2009

NAJARIBU UPANDE WA PILI-VUKANI NDANI YA KWANZA JAMIII........

Wengi watanisoma humo

Rafiki yangu Markus Mpangala aliwahi kunishauri kuwa niwe muandishi wa habari, nikakataa wazo lake, lakini siku za hivi karibuni nimevutiwa sana na Gazeti la Kwanza Jamii na nimeona nitume Vijimakala vyangu humo, ili sauti yangu ya nyikani iwafikie wengi..........

10 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Umefanya jambo la maana sana nafurahi kwa niaba yako kwani wewe ni mwandishi mmoja mzuri sana ambaye nakuamini. Ubarikiwe, unapendwa.

Mzee wa Changamoto said...

Unafanya vema na naamini utafanya vema na huko pia.
Unapendwa na UNAOMBEWA KILA LILILO JEMA

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Uamuzi mzuri. Makala zako zina uasili na upekee na naamini kwamba zitatia chachu katika gazeti hilo.

Tazama hapa kuona hali halisi ya usomwaji wa makala za kiuchambuzi katika magazeti yetu: http://matondo.blogspot.com/2009/11/uzembe-wa-watu-kusoma-makala-za.html

Nakutakia kila la heri dada Koero!

John Mwaipopo said...

wewe ni mwandishi bora. katu usiache uwezo wako udumae. ni vema sasa tutakusoma na huko pia.

Mjasiri said...

Una blogu nzuri inasema mabo yalivyo lakini. Ni matumaini yangu kuwa kwa kusoma blogu hii, mahangaikoyamkenya.blogspot.com pia itakuwa nzuri.

mdoti Com-kom said...

Hongera ni wachache huweza kufanya maamuz ya maana! "Human usualy wants to be like some one but not like him or herself" u not going to die a copy. Congrats

Bennet said...

Hongera hii ni hatua muhimu kuelekea kwenye mafanikio zaidi

MARKUS MPANGALA said...

Ni wakati mzuri, ni wakti bora wa kilichobora, ndiyo maana kisa cha ZAINABU kimenikuna sana,.........

MARKUS MPANGALA said...

Nimerejea tena nilisahau kuhusu huyu dada Yasinta...... bado wewe nakumbuka nilikueleza jambo hilo, kwani wewe mtu wa mambo ya afya, nakumbuka dada Subi katuandikia sana mambo hayo kuhusu magonjwa mbalimbali katika Gazeti hili nisilokosa kulisoma maana nimegundua kitu fulani tofauti na mengineyo.

Yasinta upelikisi??????

mumyhery said...

Hongera sana kaza buti