Ndugu wasomaji, leo nilikuwa nachungulia mtandaoni nikajikuta nikivutiwa na hii picha ya huyu jamaa, naambiwa kuwa eti ni Mtanzania na anaishi ughaibuni. Mnaomfahahamu, naombeni mnijuze.....Huyu ni nani?
WAZIRI MKUU MGENI RASMI KONGAMANO LA WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO VYA
MITANDAO YA KIJAMII
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Jumuiya ya Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) kwa kushirikiana na
Shirikisho la Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu...
26 minutes ago
4 comments:
Huyu ni Dr Zawose
Kama alivyosema Kaka Bennet, huyo ni Dr. Hukwe Zawose. Mmoja kati ya mabalozi wazuri wa muziki wa asili wa Tanzania aliyefariki mwaka 2003.
msome http://www.bagamoyo.com/464+M5ad021e75f8.html
Hee!! kaka Mubelwa, kumbe huyo Ndiye Dr. Nzawose!!!!....na Kumbe ameshafariki!!!!!!
hebu ngoja nimsome kupitia hiyo Link kwanza.......
Duh! Kwa nini watu wanawahi kujibu maswali kama haya. Basi kwani tayari wameshajibu waliotangulia. nazipenda sana nyimbo zake. labda nisema tu ni mgogo au alikuwa mgogo.
Post a Comment