Friday, June 24, 2011

MUNGU AKITAKA KUKUANGAMIZA WAKATI MWINGINE ANAKUNYIMA NURU!Nilikuwa nawaza tu!

7 comments:

emu-three said...

Kweli Mungu ana silaha nyingi na vifaa vya kila namna, ila ndio hivyo twajifanya twajua kila kitu, tuna nguvu, tuna utawala, tuna...hata hivyo hatushukuru!

Anonymous said...

Changamoto ninayojiuliza, hivi hawa wengine walioko Mungu hajataka kuwaangamiza tu? Wao ni wema zaidi ya hawa jamaa? Inchanganya wakati mwingine!

SIMON KITURURU said...

MUNGU!

Kwanini uumbe BINADAMU halafu uwaangamize?

Nawaza tu kwa sauti!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

swali la kitururu limetulia! Mungu kamwe hawezi angamiza, msichanganye ya mbingu na dunia, eti ni Mungu!

Vimax Asli Canada said...

I like it this blog information, thanks for sharing

Obat Kuat Asli said...

I like it this blog information, thanks for sharing

poker said...

PROMO DELIMA
poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya

Bonus yang kami sediakan :
* TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
* Bonus referal sebesar 10%

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: Facebook
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___http://www.delimapoker.com/?ref=19860605