Sunday, January 9, 2011

ULIKUWA MWANZO MZURI WALIPOKUTANA WADAU HAWA!

Nasikitika sikuwa mmoja wao.........

9 comments:

Fadhy Mtanga said...

tulianza vizuri sana.naamini mwaka huu tutafanya zaidi ya hapo

chib said...

Ha ha haaa, usiwe na shaka Koero, wanasema dunia ni duara, na watu hukutana. Ipo siku tu watu watakutana nawe.
Nakutakia kila la heri na baraka zote kwa mwaka 2011.
Ahsante kwa kutujali na kututundika hapa

Bwaya said...

Hakika ilipendeza! Naamini itapendeza zaidi mwaka huu

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli milima haikutana bali wanadamu hukutana.

Anonymous said...

Ilikuwaje karibu watu wote walikuwa wamevaa mashati/fulana nyeupe!! What a coincidence!!!

SIMON KITURURU said...

Poa sana hii!Mungu akipenda mwaka huu sitokosekana!

Mzee wa Changamoto said...

Na mie sijui nitakuja lini nionane na hao watakaoniweka kwenye blogu na mie nipambwe???
Ggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Mara kadhaa nimesema ni heri kuwa na watu kumi walio upendo na umoja kuliko umoja wa blogaz 300 walio na unafiki na utengano

Mcharia said...

Haswaa...mzee wa changamoto.

Markus Mpangala said...

kama safari ilikwishaanzishwa na muhimu kuwa na mwanzo wenye safari moja.
@mzee wa changamoto, tatizo la unafiki na hisia hasi juu ya jambo. wanablogu wengi wanakuwa na hisia hasi. ndiyo maana nakumbuka kauli ya mtani wangu Fadhy alisema, "sijui kwanini watu hawachukulii serious huu mumuiko", kauli hii inarindima kichwani mwangu daima, sijui nifanye nini ili mpate kuelewa. Binafsi blogu imenikutanisha na watu wengi sana, namshukuru sana Ndesanjo Macha kwa kunihamaisha na kunielekeza hili na lile na pia hata 'kupoteza' muda wake.

"Wanablogu ni mashujaa wa kesho".