Ndugu wasomaji, leo nilikuwa nachungulia mtandaoni nikajikuta nikivutiwa na hii picha ya huyu jamaa, naambiwa kuwa eti ni Mtanzania na anaishi ughaibuni. Mnaomfahahamu, naombeni mnijuze.....Huyu ni nani?
KAMONGA ACHUKUA FOMU TUME
-
Baada ya uteuzi wa wagombe ubunge wa uliofanyika siku ya Jana na
halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa, Mbunge wa Jimbo la
Ludewa Adv. Joseph Z...
13 hours ago
4 comments:
Huyu ni Dr Zawose
Kama alivyosema Kaka Bennet, huyo ni Dr. Hukwe Zawose. Mmoja kati ya mabalozi wazuri wa muziki wa asili wa Tanzania aliyefariki mwaka 2003.
msome http://www.bagamoyo.com/464+M5ad021e75f8.html
Hee!! kaka Mubelwa, kumbe huyo Ndiye Dr. Nzawose!!!!....na Kumbe ameshafariki!!!!!!
hebu ngoja nimsome kupitia hiyo Link kwanza.......
Duh! Kwa nini watu wanawahi kujibu maswali kama haya. Basi kwani tayari wameshajibu waliotangulia. nazipenda sana nyimbo zake. labda nisema tu ni mgogo au alikuwa mgogo.
Post a Comment