Saturday, November 7, 2009

MSIONE KIMYA......NAUMWA

Naikumbuka picha hii enzi hizo!

Ndugu zanguni, msione kimya, nimeshambuliwa na anofelesi na sasa najiuguza majeraha ya malaria yapata wiki sasa, nimepata tiba ipasayo lakini majaaliwa ya afya yangu hayaoneshi kutengemaa....nawashukuru sana kwa kunitembelea, na hapo nitakapopona nitarejea kwa kasi ya ajabu...

Nawapenda wote na mungu awabariki..

9 comments:

Anonymous said...

Ugua pole!

Yasinta Ngonyani said...

uugue pole mdogo wangu. pole sana kwa kuumwa, malaria haya nayo.

Mzee wa Changamoto said...

Pole Da'Mdogo. Utapona wala usijali
Nakuombea kama ilivyo ada
Baraka kwako, Baba, Mama na Kaka.

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Utapona/umeshapona!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

usipopona utafanyaje?

PASSION4FASHION.TZ said...

Pole sana,nakuombea upate nafuu ya haraka.

SIMON KITURURU said...

Ugua Pole Mwanakwetu!

Markus Mpangala said...

Mmmmmmhhh! KAMALA?? hee swali tamu hilo, lakini nashangaa Koero anaumwa wiki nzima.....ninamshaka ameacha kufanya mazoezi kama malaria yanamtafuna juma zima.....

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___