Ndugu wasomaji, leo nilikuwa nachungulia mtandaoni nikajikuta nikivutiwa na hii picha ya huyu jamaa, naambiwa kuwa eti ni Mtanzania na anaishi ughaibuni. Mnaomfahahamu, naombeni mnijuze.....Huyu ni nani?
Sloti ya Matunda 777 Super Strike ni Kasino Yenye Bonasi na Ushindi 100%
-
777 Super Strike ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma wa
Red Tiger. Katika mchezo huu, unatarajia kufurahia bonasi kibao kama vile
mizu...
1 hour ago
4 comments:
Huyu ni Dr Zawose
Kama alivyosema Kaka Bennet, huyo ni Dr. Hukwe Zawose. Mmoja kati ya mabalozi wazuri wa muziki wa asili wa Tanzania aliyefariki mwaka 2003.
msome http://www.bagamoyo.com/464+M5ad021e75f8.html
Hee!! kaka Mubelwa, kumbe huyo Ndiye Dr. Nzawose!!!!....na Kumbe ameshafariki!!!!!!
hebu ngoja nimsome kupitia hiyo Link kwanza.......
Duh! Kwa nini watu wanawahi kujibu maswali kama haya. Basi kwani tayari wameshajibu waliotangulia. nazipenda sana nyimbo zake. labda nisema tu ni mgogo au alikuwa mgogo.
Post a Comment