Wakati gani bora wenza ‘kubwagana?’
-
Uliwahi kuhusishwa kwenye mgogoro wa ndoa na kuombwa ushauri? Tunadhani ni
wengi wamewahi kufanya hivyo iwe kwa kutaka au vinginevyo. Hakuna jambo
gumu n...
1 hour ago
3 comments:
ha ha ha haaaaa! mweh mambo ya biashara haya!!
dada koero Mkundi kweli biashara matangazo. Umenikumbushia mbali sana pindi nilipokuwa meneja matangazo wa radio moja hapa Dar nilikuwa nabuni vitu vingi sana ili kuhakikisha tunaendelea kuuza. Ila zaidi napenda barua zako dada you are so creativity and gifted person. Big up!!
Hakika hiyo nanihii ni mtumba kutoka kwa wacheza sumo wa Japan! :-)
Post a Comment