Thursday, March 17, 2011

MJOMBA MASSAWE WA BUGURUNI ROZANA

Jana nilinunua Vocha hapa, nikavutiwa na Tangazo hili

4 comments:

Anonymous said...

Hapo kuna mabango matatu, ni lipi ulivutiwa nalo?

emu-three said...

Kweli mabango yapo mengi au mliongea kinamna ili umtangazie duka lake!

Koero Mkundi said...

Nilivutiwa tu na mjasiriamali huyu kwa jinsi anavyojua kuchangamkia biashara, kwa yeye anachoangalia nai maslahi, yaani hana tofauti na mimi jinsi ninavyojua kuchakarika.....

Mija Shija Sayi said...

Safi sana Koero..