Mnaringia ‘kiinglish’ are you British or Brutish!!
-
Juzi nilishuhudia vita ya *kikumbaff* na kizwazwa ya mafyatu, au niseme
uchangudoa wa kimaadili, ushamba wa kiakili, na ulimbuekeni wa kitabia. Si
baada...
1 hour ago
4 comments:
Eeh jamani chai na magimbi umenikumbusha mbali wakati naishi Matetereka. ok mi nadhani huyo ni yeye mwenyewe bibi Koero.
naomba hiyo shuka niongeze mtaji
Mi naomba hiyo shuka. Huku nilipo kuna baridi kimtindo. Huyo atakuwa ni mwenyewe huyo!
Huyu ndiye mwenyewe!
Post a Comment