Haya waungwana, nimeingia Arusha jana kimya kimya na safari hii nimesimama kilimo kwanza na nitajikita zaidi kwenye kampeni za nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha tunagawana kura za kishindo na muheshimiwa......
Naamini tunaweza iwapo nia na dhamira itakuwepo, kwani "Together change we can" Na Inshaallah Slaa ataingia mjengoni pale magogoni.
6 comments:
Amani,kila la heri.
karibu
Tutaweza tu. Kila la kheri!!
Mama Nchungaji mbona tafakuri ya jumamosi haipo? Naimiss kwa kweli-ooooh!
Enjoy hilo baridi la Arusha!
kaza buti mwanan'ke. ikiwezekana ukimaliza nyumba kwa nyumba unahamia chumba mpaka chumba. halafu bafu mpaka bafu mpaka kieleweke. kila la heri.
Wakati fulani,
kuna kitu fulani,
mtu fulani,
anajambo fulani,
pia kipawa fulani,
kati yake nini,
sijui ni ipi,
siasa au fasihi,
akili kichwani,
malenga ya mtani,
Fadhy diwani,
imani na mwananchi,
weledi kichwani
daima maanani,
arusha punde naja,
safari haijatimia,
nipata nauli kutosha,
arusha natua kwa harara,
Arusha jamani
nipeni ramani,
nitimu hemani,
harara jamani
niweze wasiri,
NAJA kwa makeke na vurugu.............
Post a Comment