Wakati gani bora wenza ‘kubwagana?’
-
Uliwahi kuhusishwa kwenye mgogoro wa ndoa na kuombwa ushauri? Tunadhani ni
wengi wamewahi kufanya hivyo iwe kwa kutaka au vinginevyo. Hakuna jambo
gumu n...
1 hour ago
8 comments:
Mmmmmh!
Tumekukosa katika medani za kisiasa,nadhani uwepo wako kwenye kampeni kwa njia ya ku blogu ungeweza kuwa chachu, lakini hakuna kilichoharibiki kwa huu ujumbe wa dk za lala salama.
Ukiamini kila kitu chawezekana.
Hakuna lisilowezekana!!
kila kitu kina mwisho wake. Huu ni mwisho wa sisiem
Ninayo maswali siyo haba. Lakini ngoja tu ninyamaze maana hilo kaburi na kitambulisho cha mpiga KURA???? duh!!!
Duh! Yaani kwa sasa sisiemu wamemzika rais wao na wabunge!
mara ccm pindu/chali!!
Post a Comment