WAKULIMA WA MWANI, WAVUVI MKINGA WALISHUKURU SHIRIKA LA TAWSEI KUWAPATIA
ELIMU
-
Na Oscar Assenga, MKINGA
WAKULIMA wa Kilimo cha Mwani na Wavuvi kata ya Manza na Mayomboni wilayani
Mkinga Mkoani Tanga wamelishukuru Shirika la Tanzania...
46 minutes ago
8 comments:
Mmmmmh!
Tumekukosa katika medani za kisiasa,nadhani uwepo wako kwenye kampeni kwa njia ya ku blogu ungeweza kuwa chachu, lakini hakuna kilichoharibiki kwa huu ujumbe wa dk za lala salama.
Ukiamini kila kitu chawezekana.
Hakuna lisilowezekana!!
kila kitu kina mwisho wake. Huu ni mwisho wa sisiem
Ninayo maswali siyo haba. Lakini ngoja tu ninyamaze maana hilo kaburi na kitambulisho cha mpiga KURA???? duh!!!
Duh! Yaani kwa sasa sisiemu wamemzika rais wao na wabunge!
mara ccm pindu/chali!!
Post a Comment