SINGIDA WAANZA KUTOA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA UZAZI KWA WASICHANA
178,114.
-
Mkoa wa Singida umezindua rasmi zoezi la utoaji wa chanjo wa Saratani la
mlango wa uzazi kwa wasichana mwenye umri kati ya miaka Tisa hadi 14 ambapo
Wasi...
12 hours ago
8 comments:
Mmmmmh!
Tumekukosa katika medani za kisiasa,nadhani uwepo wako kwenye kampeni kwa njia ya ku blogu ungeweza kuwa chachu, lakini hakuna kilichoharibiki kwa huu ujumbe wa dk za lala salama.
Ukiamini kila kitu chawezekana.
Hakuna lisilowezekana!!
kila kitu kina mwisho wake. Huu ni mwisho wa sisiem
Ninayo maswali siyo haba. Lakini ngoja tu ninyamaze maana hilo kaburi na kitambulisho cha mpiga KURA???? duh!!!
Duh! Yaani kwa sasa sisiemu wamemzika rais wao na wabunge!
mara ccm pindu/chali!!
Post a Comment