BALOZI NCHIMBI AKUTANA NA MWENYEKITI WA WABUNGE WA CCM, SPIKA WA BUNGE
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe.
K...
10 hours ago
8 comments:
Mmmmmh!
Tumekukosa katika medani za kisiasa,nadhani uwepo wako kwenye kampeni kwa njia ya ku blogu ungeweza kuwa chachu, lakini hakuna kilichoharibiki kwa huu ujumbe wa dk za lala salama.
Ukiamini kila kitu chawezekana.
Hakuna lisilowezekana!!
kila kitu kina mwisho wake. Huu ni mwisho wa sisiem
Ninayo maswali siyo haba. Lakini ngoja tu ninyamaze maana hilo kaburi na kitambulisho cha mpiga KURA???? duh!!!
Duh! Yaani kwa sasa sisiemu wamemzika rais wao na wabunge!
mara ccm pindu/chali!!
Post a Comment