Friday, March 4, 2011

JE UMEGUNDUA NINI KATIKA PICHA HIZI?

Tengeru Arusha
Mombo Tanga

5 comments:

Anonymous said...

Nimegundua jinsi kauli mbiu ya kilimo kwanza inavyofanya kazi, maana hao wanafunzi hapo elimu kwanza haipo,hivyo wanajiandaa kuwa wakulima bila a elimu.
Nadhani kauli mbiu ingebadilika ikawa elimu kwanza.

Goodman Manyanya Phiri said...

WATOTO WASHULE kwenye picha ya kwanza na "wamepoa" tu... sijui wanasubiri usafiri au shuleni wametoroka na kuja kutangatanga mitaani.


WATOTO WASHULE picha ya pili. Hawa wanaonekana ingawa bado ni wadogo, lakini wanakwenda na dhania darasani kwa bidii. "Mwalimu wao" ndio anaonekana yuke BIZEBIZE tu sijui yuko pilikapilika na nini badala ya kuwapokea hao shujaa-dogodogo.

Kwani vipi, Mkuu???

mgaya said...

Dada ni kile kizazi kilichokosa misingi na miundombinu madhubuti ya namna ya kurejea nyumbani pia kufika shule(wanafunzi) kweli sjui baada ya miaka kumi tutazungumzia nini juu ya kizazi hiki

emu-three said...

Nimegundua kitu kimoja `Hili ndio taifa la kesho...oh, hawataki kuitwa hivyo, hilo ndio taifa la leo...'

Simon Kitururu said...

Nahisi kama sehemu zote ni stendi fulani za magari na nachowezakufikiria KIRAHISI ni maswala ya matatizo ya usafiri wa WANAFUNZI!


Ila kama tu picha moja iwezavyo kusema mengi:


Picha ya juu ya Arusha unaweza kuitafsiri kuwa wanafunzi wenye Uniform ambao ni wavulana wawili na wasichana wawili ndio wamekula tunda la asili tu a.k.a WAMEBALEHE na KUVUNJA UNGO na wafanyacho ni kutoroka shule kwenda maeneo wayajuayo kudanganyana na kujaribu kula tunda la werevu.
Hasa kama unakumbuka enzi hizo katika ukuaji!


Picha ya pili ya Mombo inaonyesha mahali pazuri pakuanzisha maeneo mazuri ya kuanzisha biashara ya CHIPSI MAYAI kama unataka kudaka Wanafunzi na kupata wakaaji wa kijiweni bila shughuli wawe wauzaji chipsi mayai zako.


Mtazamo mwingine:

Kote wanamchezo wakutupatupa matakataka popote tu pale.Ref: Chupa ya maji ya Lady Jay Dee barabarani kwenye picha ya MOMBO na ya Arusha nabana matumizi ya kuelekeza wapi pachafu.


Mtazamo wa elfu. Picha zote zinaonyesha mahali ambapo labda panatakiwa kuwe na lami .



Wakati sijaishiwa mitazamo mpaka ya mabati ya vibanda vya biashara- labda niseme kikubwa LABDA NI KUWA zote mbili ni PICHA tu!:-(

Nimeacha!

Nasubiri jibu la kitendawili!