Niliwahishwa Hospitali na ikaonekana nimeteguka kifundo cha mguu wa kushoto. nimefungwa POP na sasa naendelea vyema.
KATIBU MKUU LUEHEMEJA AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU SIFAEL
-
*Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cypriana Luhemeja akiifariji
familia ya aliyeshiriki tukio la kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika
na ...
6 hours ago
9 comments:
Ahsante kwa taarifa maana kweli ulipotea kweli. Na nakuombea upone kwa haraka. Duh hizi ajali hizi kaazi kwelikweli . Mungu awe nawe...Pamoja daima
Pole Mdada!
Pole kwa ajali...
get well soon Mdada!
Pole sana.
Mpola muto wange. Orware noikya
Pole sana Msasani maeneo gani maana nami nabangaiza maeneo hayo nataka kuja kukuona, na kukujua hali
Ahsanteni ndugu zangu kwa kunipa pole, naendelea vizuri kwa kweli, na jambo la kufurahisha nimepata muda wa kuperuzi blog mbalimbali na pia kupata wasaa wa kuandika makala zangu. yaani nilikuwa sina muda, na sasa nataka niandike ujinga mwingi kisha niwarushie hapa kibarazani kwangu, kaeni mkao wa kusoma majungu...... LOL
Kaka M-Three...nashukuru kwa kutaka kuja kuniona, ingawa ajali niliipata hapo Msasani, lakini kwa sasa niko Mbezi Beach kwa dada yangu nikijiuguza, niliondoka nyumbani Mikocheni tangu juzi na kuja huku Mbezi kwa dada yangu kudeka kidogo....LOL
hongera
Pole sana na tunashukuru kusikia unaendelea vyema!
Post a Comment