Friday, April 24, 2009

JE HUYU NI NANI?

Alikwenda kijijini kumtembelea bibi yake, na hapa alikuwa akielekea Kanisani.6 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Hahahahahaaaaaa. Ni yeye. Naniiii!!!!!!!!!

Yasinta Ngonyani said...

:-) Huyu ni kama Koero kwa vile anatoka dar basi anajisikia baridi na huo mblanketi wake hahahaaaaaaaa

PASSION4FASHION.TZ said...

Huyu ni Koero bibi kamwambia amsaidie kumtafuta jogoo mkubwa wa kuchinja.
Hahaahaha!!

Mwanasosholojia said...

Mpaka leo umesimama tu Koero katika njia ya kuelekea kanisani?teh!angalia miguu itaingia tumboni shauri yako!

mumyhery said...

hapo alikuwa likizo, lakini bibi jumapili bibi kamuamsha asubuhi asubuhi pamoja na kabaridi aende kanisani

Fadhy Mtanga said...

duh!
huyu ni kiboko, kajifunika blanketi. Inaonekana akiwa kitandani kajikunyata kwa baridi kali, bibi yake aliwaamsha wajukuu wake kwa kusema 'Vukani'
Ni yeye huyu huyu!