TANESCO RUVUMA YAWAFIKIA WANAFUNZI TUNDURU, YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA UMEME
-
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Ruvuma limeendelea na zoezi la
utoaji wa elimu kwa wateja kwa kuwafikia wanafunzi wa shule za msingi na
sekon...
36 minutes ago


6 comments:
Hahahahahaaaaaa. Ni yeye. Naniiii!!!!!!!!!
:-) Huyu ni kama Koero kwa vile anatoka dar basi anajisikia baridi na huo mblanketi wake hahahaaaaaaaa
Huyu ni Koero bibi kamwambia amsaidie kumtafuta jogoo mkubwa wa kuchinja.
Hahaahaha!!
Mpaka leo umesimama tu Koero katika njia ya kuelekea kanisani?teh!angalia miguu itaingia tumboni shauri yako!
hapo alikuwa likizo, lakini bibi jumapili bibi kamuamsha asubuhi asubuhi pamoja na kabaridi aende kanisani
duh!
huyu ni kiboko, kajifunika blanketi. Inaonekana akiwa kitandani kajikunyata kwa baridi kali, bibi yake aliwaamsha wajukuu wake kwa kusema 'Vukani'
Ni yeye huyu huyu!
Post a Comment