SINOAM GLOBAL FUND YAONESHA NIA YA KUWEKEZA DOLA BILIONI 5 TANZANIA,
YAKUTANA NA WAZIRI MKUMBO LONDON
-
*Mfuko wa kimataifa wa uwekezaji Sino American Global Fund (SinoAm LLC)
umeonesha nia ya kuwekeza hadi Dola za Marekani bilioni 5 nchini Tanzania
katika ...
40 minutes ago


6 comments:
Hahahahahaaaaaa. Ni yeye. Naniiii!!!!!!!!!
:-) Huyu ni kama Koero kwa vile anatoka dar basi anajisikia baridi na huo mblanketi wake hahahaaaaaaaa
Huyu ni Koero bibi kamwambia amsaidie kumtafuta jogoo mkubwa wa kuchinja.
Hahaahaha!!
Mpaka leo umesimama tu Koero katika njia ya kuelekea kanisani?teh!angalia miguu itaingia tumboni shauri yako!
hapo alikuwa likizo, lakini bibi jumapili bibi kamuamsha asubuhi asubuhi pamoja na kabaridi aende kanisani
duh!
huyu ni kiboko, kajifunika blanketi. Inaonekana akiwa kitandani kajikunyata kwa baridi kali, bibi yake aliwaamsha wajukuu wake kwa kusema 'Vukani'
Ni yeye huyu huyu!
Post a Comment