TANESCO Yatoa Wito kwa Wananchi Kulinda Miundombinu ya Umeme wa Gridi ya
Taifa
-
Msimamizi wa Msongo wa Kilovoti 220 kwa mikoa ya Njombe na Ruvuma Mhandis
Liberatus Juma, , amewataka wananchi kutofanya shughuli za kibinadamu
karibu na m...
2 hours ago


6 comments:
Hahahahahaaaaaa. Ni yeye. Naniiii!!!!!!!!!
:-) Huyu ni kama Koero kwa vile anatoka dar basi anajisikia baridi na huo mblanketi wake hahahaaaaaaaa
Huyu ni Koero bibi kamwambia amsaidie kumtafuta jogoo mkubwa wa kuchinja.
Hahaahaha!!
Mpaka leo umesimama tu Koero katika njia ya kuelekea kanisani?teh!angalia miguu itaingia tumboni shauri yako!
hapo alikuwa likizo, lakini bibi jumapili bibi kamuamsha asubuhi asubuhi pamoja na kabaridi aende kanisani
duh!
huyu ni kiboko, kajifunika blanketi. Inaonekana akiwa kitandani kajikunyata kwa baridi kali, bibi yake aliwaamsha wajukuu wake kwa kusema 'Vukani'
Ni yeye huyu huyu!
Post a Comment