Tuesday, July 27, 2010

BADO TU, HAMUHISI KITU?

Mchaga, anaishi Dar, umri miaka 34

Mmbulu, anaishi Arusha, Umri miaka 36

Mkinga, anaishi Dar, umri miaka 38

Unadhani huyu atakuwa ni nani?


9 comments:

Simon Kitururu said...

Nahisi nimesha kukosa Koero.:-)

Fadhy Mtanga said...

Watu weweeeeeeeeee!

Mie ndo nshakupata hivyo.

Wengine tulizeni mipira yenu. Mwenyewe ndo mimi. Sasa nanunua bunduki.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

yule anayekukuna saidi ndo saizi yako...lol!

MARKUS MPANGALA said...

SITANII.....
Koero anahitaji msaada wa NASAHA, hajui nani anatamwoa maana naona Mtani anahasira anashika bunduki. Mtani huyu Mama Mchungaji ana hali ngumu......

TANGAZO LA NIA YA NDOA.

kwakuwa kuna amatangazo ya mtu kuwa ananjaa kali, lakini pia akishiba hatangazi ameshiba ila anafurahia kushiba. KWAKUWA kuna tangazo la KUGOMBEA UBUNGE na udiwani basi kila MTANGAZA NIA ana sera zake aidha kibepari au ujamaa. Sasa tatizo ni pale WATANGAZA NIA WANAPOKUWA NA SIFA ZINAZOMCHANGANYA Mtoto wa mzee Mkundi, sijui....... HIVI MAMA MCHUNGAJI HAWA JAMAA WAMEONJA NA WAKANOGEWA NA UTAMU WA ASALI WAKASEMA BANDU BANDU? WAMEONJA MARA NGAPI? Hee TANGAZO LA NIA YA KUOA kumbe kuna wachaga na wakinga, kuna wambulu na wabena mtani wangu Fadhy. Kuna wengine hawasemi wanaishia KUHEMA. NANI ANAFAA KUWA MCHUMBAKO MAMA MCHUNGAJI?

1. WA ARUSHA?
sifa yake ya kutangaza NIA, ilitokana na nini? Na kwanini aliamua kutangaza NIA? alionja Papa na kufyonza utamu wa UBUYU?

2. WA DAR WOTE?

ha hapa kuna swali lakini siulizi ila nabaki na kijiswali kiduchu. HIVI WANTANGAZA NIA YA KUKUVISHA PETE au ILI WAONJE WAJUE BAKURURU za OK JAZZ ni tamu au la?

SIJAMWONA MWENYE SIFA HATA MMOJA, WOTE NAWAONA HAWATAKI KUTANGAZA NIA YA KUONJA bali wanatangaza NIA YA NDOA ili waonje, wanogewe halafu WASHIBE WAZAZE..........

nitarudi nikipata wazo lingine.........................

MARKUS MPANGALA said...

CHANZO CHA NDOA NI NINI? HIVI PETE HUWAKILISHA NDOA AU?

malkiory said...

Kwasababu Koero alipotelea Arusha kwa kipindi fulani basi moja kwa moja nasema ni MMBULU kama wanavyoita,lakini ujue jina sahihi la kabila langu ni Wairaqw. Kumbe nina bonge la shemeji, karibu sana kwenye Mbulu.

MARKUS MPANGALA said...

MADA IMECHAKACHULIWA HII. naondoka, simo tena KWAHERINI

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Mpangala: Heri miye sijasema :-(

chib said...

Sitaki kusema ya kwangu.... Lakini...., hivi ukiwa unasaka lazima uwe na wengi kwanza... ohooo naona nimechemsha, nilisema sisemi sasa imekuwaje... :-)