KAMONGA ACHUKUA FOMU TUME
-
Baada ya uteuzi wa wagombe ubunge wa uliofanyika siku ya Jana na
halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa, Mbunge wa Jimbo la
Ludewa Adv. Joseph Z...
13 hours ago
7 comments:
what a nostalgia!
Mwaipopo, eti nini?
Mzee mkundi naye yupo kama mzee wangu mpaka sumni ameitunza duh! senti moja, senti tano ....
Da' Yasinta inaitwa Sumni au Thumni?
Manoti pesa!
Kwa mtu kama mimi ukiniuliza swali kama hilo nitakuambia kuwa `unauliza jibu'
Tumezitumia hizo sana, na thamani yake nafikiri ni kubwa kuliko hizi tunazotumia sasa hivi, anayebisha aseme!
kaka shaban nawe huna dogo mweeeh! sawa ni Thumni. Kaaazi kwelikweli.
Post a Comment