
Viongozi wa Dini Watakiwa Kutumia Lugha ya Kujenga Jamii-Mwalimu Joseph
-
Na Mwandishi Wetu
VIONGOZI wa Dini wana nafasi kubwa ya kuunganisha jamii kutokana na madhara
yaliyotokea katika Uchaguzi Mkuu na baada ya uchaguzi.
...
2 hours ago


5 comments:
ha ha ha ha Mama Mchungaji Koero, hukujuaaaa??? Haaa!!!! ndiyo ulifikiri walevi tuuuuu au popo???? hata Mbayuwayu wapo Mama Mchungaji, hata ukiishiwa sukari a.k.a kifafa unaanguka halafu tunakuombea kwa jina la Yesuuuu au Muhammadiiiii Lol,
Picha na taswira.
Ipo siku wanyama wataandamana kudai haki na malipo yao!
kudai nimeelewa sana ntakuwa naongopa. ninachoona hapa ni picha za ndege mbayuwayu na kigong'ota. wamefanya nini? sijui.
nadhani Koero alikuwa anategua kitendawili cha Muhueshimia. Kumbe Mbayuwayu alimuonea wivu Kong'ota anavyotoboa mti na mdomo wake na ndio na yeye akataka kujifunza ujuzi huo.
Na ndipo Kongota akamwambia aende juu kisha ashuke kwa kasi na kugonga juu ya jiwe na ndipo atakapokuwa na ujuzi huo.
Picha ya Juu Mbayuwayu anachukua kasi ili kugonya jiwe na ndipo akashituka na kusema "Akili ya kuambiwa, changanya na ya kwako"
Kwa hiyo wafanyakazi waishangilie sana CCM na kuhudhuria sana mikutano yao, lakini mwisho wa yote kura ziende kwa Dr. Slaa.
CCM oyee.........
Post a Comment