
TRA DODOMA YATOA ELIMU YA KODI KWA MJASIRIAMALI IDRISA WA BAHI KUFUATIA
MALALAMIKO YA KIKODI
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Dodoma tarehe 15 ilifanya ziara ya
kikazi kumfikia mjasiriamali Idrisa Aclay Chisigwa wa Wilaya ya Bahi, kwa
l...
15 minutes ago


5 comments:
ha ha ha ha Mama Mchungaji Koero, hukujuaaaa??? Haaa!!!! ndiyo ulifikiri walevi tuuuuu au popo???? hata Mbayuwayu wapo Mama Mchungaji, hata ukiishiwa sukari a.k.a kifafa unaanguka halafu tunakuombea kwa jina la Yesuuuu au Muhammadiiiii Lol,
Picha na taswira.
Ipo siku wanyama wataandamana kudai haki na malipo yao!
kudai nimeelewa sana ntakuwa naongopa. ninachoona hapa ni picha za ndege mbayuwayu na kigong'ota. wamefanya nini? sijui.
nadhani Koero alikuwa anategua kitendawili cha Muhueshimia. Kumbe Mbayuwayu alimuonea wivu Kong'ota anavyotoboa mti na mdomo wake na ndio na yeye akataka kujifunza ujuzi huo.
Na ndipo Kongota akamwambia aende juu kisha ashuke kwa kasi na kugonga juu ya jiwe na ndipo atakapokuwa na ujuzi huo.
Picha ya Juu Mbayuwayu anachukua kasi ili kugonya jiwe na ndipo akashituka na kusema "Akili ya kuambiwa, changanya na ya kwako"
Kwa hiyo wafanyakazi waishangilie sana CCM na kuhudhuria sana mikutano yao, lakini mwisho wa yote kura ziende kwa Dr. Slaa.
CCM oyee.........
Post a Comment