๐ฆ๐จ๐ ๐ป๐ฎ ๐๐จ๐ฉ๐๐ฆ ๐ธ๐๐ฏ๐ฎ๐ฑ๐ถ๐น๐ถ๐๐ต๐ฎ๐ป๐ฎ ๐๐๐ผ๐ฒ๐ณ๐ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ
๐๐ถ๐ฏ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐บ๐ฎ
-
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kitaanza kubadilishana wafanyakazi na
wanafunzi pamoja na kushirikiana katika tafiti na Chuo Kikuu cha Lala
Lajpat...
37 minutes ago
9 comments:
Maboksi matupu yanauzwa tayari kuwekewa zawadi za upendo wa dhati au....
unaolewa hivi karibuni????
Maboksi matatu halafu yamekaa kimitego....nahisi umeshaingia kwenye mtengo ili ufungwe pingu za maisha. Ila sema tu roho inaniuma kweli wakati pweza alishanitabiria mie ndo kinara ina maana kanidanganya?
Umeolewa nini mbora wedi!
naungana na kaka chib. ni maboksi ya zawadi lakini matupu. bado kuwekewa zawadi.
fadhy tatizo unapata ushauri wa pweza wa feri. nibeep nikutumie namba ya pweza paulo.
Mimi nahisi upendo, kwani zawadi ni ishara ya upendo na amani, iwe unaolewa au unapeleka kwa wanao-oa, au itakavyokuwa lakini kuna kaishara kafuraha na upendo. Hongera
"mipira"
kuna dhawadi ya kilimokwanza ya familia.
boksi lenye 'mbuzi' yenye kukuna saidi ndilo litakalotwaliwa kwenye utukufu...lol!
SITANII
jamani miminaona huu ni UFISADI WA MAPENZI haki mungu hivi. Tena ufisadi huo umejiingiza hata Mama Mchungaji nadhani hakujua. NAYAONA MADUME MATATU YANAWANIA UPENDO WA KOERO. bishaaaaaaa!!!! najua kuna mmoja unampenda sana, kuna mmoja anakuvutia kwa ucheshi na mwingine ni kutokana na namna anavyokubembeleza. yaani mmoja unampenda mwenyewe na mwingine anakupenda wewe na wa tatu unavutiwa tu namna unavyopenda mambo yake duuuhhh ama kweli iko kazi hapa.
CHAGUA MWENYEWE YUPI ANAIKUNA NAFSI YAKO ili ujue kuwa watu wanajua kula kwa kuchagua. LAKINI KUMBUKA HAWA WANAUME WOTE WANA NJAA NA WEWE, SIJUI WAKISHIBA ITAKUWAJE jibu unalo......
Post a Comment